Kwa nini Utuchague Sisi

Chagua MobiStock Kwa Kuwa ni;

Img

Rahisi Kutumia

Huduma zetu zinapatikana katika POS na USSD system kupitia kwa mawakala wetu wote walioko Tanzania nzima hivyo kufanikisha huduma kuwa ya haraka, rahisi na ya kisasa zaidi.

Usalama

Mitambo yetu inalindwa na tekinologia za kisasa zaidi kuhakiki nyaraka na akaunti za kila mtumiaji wa MobiStock ziko salama muda wote atumiapo na asipokuwa akitumia.

Img

Huduma ya Uhakika

Huduma zetu zinaboreshwa mara kwa mara kuhakiki zinapatikana saa 24 kwa siku 7 mfululizo ili huduma zipatikane kwa watumiaji wetu wanpohihitaji na popote pale walipo.

Masharti Nafuu Kuwa Wakala

Unacho takiwa ni kuwa na simu, laini na mtaji wa kwazia biashara (20,000/=) tuu na kuanza kutengeneza faida ndani ya dakika 15.

Free Web Hosting