Habari Mpya
-
07 2017
Mpya: BIKO MobiStock
Mpendwa Wakala, Sasa unaweza kulipia tiketi ya Biko kupitia simu yako kwa njia fupi na rahisi. Kulipia piga *150*33#
-
03 2017
Mpya: SMART Vifurushi MobiStock
Mpendwa Wakala, Vifurushi vya mtandao wa SMART (internet na muda wa maongezi) sasa vinauzika ndani ya Mobistock. Download application yetu kupata Miongozo ya jinsi ya kuuza...
-
03 2017
Mpya: Halichachi Vifurushi (TIGO) MobiStock
Mpendwa Wakala, Vifurushi vya Halichachi sasa vinauzika ndani ya Mobistock. Download application yetu kupata Miongozo ya jinsi ya kuuza...
-
10 2016
Mpya: Kuweka Foat Kwa Mpesa MobiStock
Mpendwa Wakala, Mpesa imeweka makato ya tshs. 200/= kwa ajili ya kutuma pesa kuja Mobistock endapo ukituma mtaji wa chini ya tshs. 21,000 kwa kila muamala.. Read More
-
08 2016
Mpya: LUKU Sasa Kuuzika Tena Katika Simu Mobistock
Mpendwa mteja, System yetu imeimarika kwa asilimia 100 sasa, unaweza kuuza Luku bila mashaka yeyote katika simu.. Ni nduki nduki tuu. Piga *150*33# kuuza.. Read More