10 2016

Mpya: Kuweka Foat Kwa MpesaMobistock October 2016

Mpendwa Wakala, Mpesa imeweka makato ya tshs. 200/= kwa ajili ya kutuma pesa kuja Mobistock endapo ukituma mtaji wa chini ya tshs. 21,000 kwa kila muamala. Tunawasisitiza muweke mitaji mikubwa kwanzia 21,000 kwenda juu ili kuepuka makato kwani ni buree.

Back to News
Free Web Hosting