Kwa kila muamala ufanyao na kukamilika utalipwa kamisheni papo hapo kwa kiasi ulicho kifanya.
1. Vocha na vifurushi 4% - 5.1%
2. Startimes 1%
3. Dstv 1%
4. Azam 1%
5. Smile 1%
6. LUKU 1%
6. BIKO 6%
Utaitoa kamishen yako muda wowote ule kwa kuendelea kuuza kawaida baada ya mtaji wako kuisha pasipo kuongeza mtaji wako katika akaunti ya MobiStock.