1. Weka Kianzio chako cha mtaji katika akaunti yako ya Mpesa, Tigo Pesa, Airtel au Ezy Pesa.
2. Fanya malipo kwa kutuma mtaji wako kwenda MobiStock.
3. Jaza Fomu na uitume (hakiki unaandika Jina lako kamili, Namba ya simu ya kusajiliwa, Eneo ulilopo na kisha uambatanishe risiti ya malipo uliyo pokea baada ya kufanya malipo).
* Tshs. 1,000 itakatwa kwa ajili ya gharama ya usajili na kinacho bakia kitawekwa katika akaunti yako ya MobiStock.*
JINSI YA KUTUMA MTAJI WA KUANZIA KUPITIA TIGO PESA
Piga *150*01#
Kisha chagua 4 malipo,
Chagua 3, ingiza namba ya kampuni 077777
Ingiza namba ya kumbukumbu ya malipo 10045591
Ingiza kiasi 11,500
Ingiza namba yako ya siri ya
Tigo Pesa.
Jaza Fomu
JINSI YA KUTUMA MTAJI WA KUANZIA KUPITIA M-PESA
Piga *150*00#
Kisha chagua 4 Lipa kwa Mpesa,
Chagua 1, weka lipa namba 5235175
Ingiza kiasi 11,500
Ingiza namba yako ya siri ya
M-Pesa.
Jaza Fomu
JINSI YA KUTUMA MTAJI WA KUANZIA KUPITIA EZY PESA
Piga *150*02#
Kisha chagua 5 malipo,
Chagua 6 mengineo,
Chagua 9 kununua hazina,
Chagua 2 Mobistock,
Ingiza kiasi 11,500
Ingiza mobistock account 10045591
Ingiza namba yako ya siri ya
Ezy Pesa.
Jaza Fomu
